Jumapili, 31 Januari 2016



(naibu wazi wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto akijibu swali bungeni)

Serikali kupitia wizara ya afya,maendeleo ya jamii,jinsia wazee na watoto 
imesema bado  inasikitika  kuona ukiukwaji wa huduma za afya,haki za fya na haki za uzazi katika baadhi ya vituo vya kutolea huduma za afya nchini.

Akijibu swali bungeni naibu waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia wazee na watoto Dakta HAMIS KIGWANGALA amesema tafiti zinaonyesha kuwa suala hilo linadumaza matumizi ya huduma na kuhatarisha maisha ya wanawake.

Dakta KIGWANGALA amesema serikali ina jukumu la kutoa na kusimamia utoaji wa huduma za afya ya uzazi na mtoto na jukumu hilo linatekelezwa kwa tumia vituo vya kutolea huduma za afya ya uzazi na mtoto vya umma na binafsi kote nchini.

Aidha naibu waziri ameeleza kuwa huduma hizo hutolewa kwa kuzingatia haki za wateja kama ilivyoainishwa kwenye  miongozo ya utoaji wa huduma hizo.

Hata hivyo dakta KIGWANGALA amesema katika kuhakikisha haki hizo zinapatikan serikali kwa kupitia mifumo yake ikiwa mabaraza ya weledi  zitatoa mafunzo kwa watoa huduma za afya kuhusiana na haki za wateja na mahitaji muhimu ya mtoa huduma na haki ya kutumia huduma kwa hiari pasipo shuruti.

Lakini pia ameeleza kuwa katika kutekeleza hilo vituo vya kutolea huduma za afya vinavisanduku vya maoni na ofisi za malalamiko ambazo ni sehemu muhimu ambapo wateja wanaweza kupelekeka malalamiko yao ili hatua zaidi zichukuliwe kukomesha na kutokomeza ukiukwaji wowote wa haki za binadamu. 

 Binde/bunge              

Alhamisi, 13 Agosti 2015







 MBIO ZA URAIS TANZANIA NA POMBE MAGUFULI.
Ni katika hali ya furaha na shangwe juu ya uteuzi wa mweshimiwa POMBE JOHN MAGUFULI kusimanishwa na rais JAKAYA MRISHO KIKWETE katika kugombea nafasi ya urais....2015


 


Hatimaye kile kilicho kuwa kinasubiriwa kwa muda mrefu katika mkutano mkuu wa  chama cha mapinduzi -CCM- mkoani DODOMA kimejidhihirisha .

Zilianza mbio na heka heka za makada wa chama cha mapinduzi kuchukua fomu na kila mmoja kutangaza kwa nafasi yake kuwania kugombea kiti cha uraisi ambapo katika makada hao waliokuchukua fomu walifikia arobaini na mbili (42).

Zoezi hilo liliendelea na hatimaye ikafika wakati wa kila mmoja kurudisha fomu za uraisi ambapo pia katika kurudisha fomu hizo makada thelatini na nane walirudisha fomu na wanne hawakurudisha fomu hizo.

katika mkutano huo wa CCM ulianza mchakato wa mchujo ili kupata tano bora ambapo katika mchujo huo walipatikana waanawake wawili na wanaume watatu.

Hata hivyo huko kote ni katika kinyang'anyiro ya kutaka kiti cha uraisi au kutia guu IKULU,watano hao waliye chaguliwa ni pamoja na aliye kuwa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa (UN) Dakta ASHA ROSE MIGIRO,Balozi AMINA SALUMU ALI, Waziri wa ujenzi Dakta JOHN POMBE MAGUFULI, naibu waziri wa sayansi na teknolojia  mh.JANUARY YUSUF MAKAMBA,na waziri wa mambo ya nje BERNAD KAMILIUS MEMBE.

Mchakato wa kuendelea kutafuta nani atakae ipeperusha bendera ya CCM hatimaye taifa ukaendelea na kuwatafuta watatu ambao walipatikana,watau hao ni pamoja na Dakta,ASHAROZI MIGIRO,Balozi AMINA SALUMU ALLY na Dakta JOHN POMBE MAGUFULI.

Hatimaye ukafika wakati wa kumtafuta mmoja kati ya wale watatu kwa kupiga kura na wajumbe mbali mbali walioshiriki katika mkutano huo wa CCM ambapo alipatikana mmoja huyo naye ni Dakta JOHN POMBE MAGUFULI ndiye atakae peperusha bendera ya chama hicho katika kampeni za uraisi licha ya kuwepo kwa vyama mbalimbali vya upinzani.

Hata hivyo, kupatikana  kwa mgombea huyo kuwania kiti cha urais kutaleta chachu na tija kwa wananchi kuondokana na umasikini ambao umekua ni kiilio miaka mingi kwa wananchi wa TANAZNIA .





Alhamisi, 26 Februari 2015

MAONI
  DODOMA

Wananchi mkoani DODOMA wameiomba serikali  kuandaa vifaa ,mapema kwenye vituo vya kujiandikishia  kwa wakati ili kuepusha usumbufu ambao utajitokeza kwa wananchi katiaka zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura .
   Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wa mkoa wa DODOMA  wameeleza kuwa serikali inatakiwa kuaangalia mapema mapungufu mbalimbali ili katika mfumo unaotumika kwa sasa.
    Hata hivyo wameitaka serikali kuendelea kutoa elimu zaidi  ya matumizi ya mfumo unaotumika sasa katika zoezi la kijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili kutokupoteza haki yao ya msingi ya kupiga kura.
     Mbali na hayo  akizindua  daftari la uboreshaji la wapiga kura mkoani NJOMBE wilaya ya MAKAMBAKO waziri mkuu wa TANZANIA  MIZENGO PINDA amewataka viongozi wa siasa kuwahamasisha wananchi kwa wingi kujitokeza katika zoezi la kijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura bila kujali itikadi za kisiasa.    



Ijumaa, 20 Februari 2015



MIKOPO

DODOMA

Wajasiriamalimkoani DODOMA wameiomba Serikali kushirikiana na taasisi mbalimbali za mikopo zitakazowasaidia kuwakopesha fedha kwa masharti nafuu  ili waweze kukopa na kujikwamua kimaisha.

Wakizungumza na TBC, baadhi ya wajasiriamali wanaojishughulisha na shughuli za useremala katika eneo la MAJENGO mjini DODOMA wamesema kuwa, taasisi nyingi za kibenki zimekuwa zikiangalia mali walizonazo wajasiriamali kabla ya kuwakopesha hatua inayowakwamisha kukopa katika benki hizo.

 Aidha  wajasiriamali hao wamesema  juhudi kubwa wanazozifanya ni pamoja na kuboresha bidhaa wanazozitoa katika uzalishaji ili ziwe bora kwa lengo la kuwavutia wateja.

 Tatizo jingine linalowakabili wajasiriamali hao ni pamoja na ukosefu wa vifaa vya kuzalishia bidhaa, upatikanaji wa  mitaji na mzunguko wa biashara kuwa mgumu.

Wametoa wito kwa vijana kujishughulisha kufanya kazi kwa bidii badala ya kukaa vijiweni na kupiga soga huku wakitegemea kuajiriwa serikalini.


KERO YA MAJI

CHEMBA

Wananchi wakijiji cha kata ya makorongo wilayani chemba mkoani Dodoma wameiomba serikali kuwasaidia kuondokana na kero ya maji ambayo imekua ikiwasumbua kwa muda mrefu na kuwalazimu wananchi hao kufuata huduma ya maji kwa umbali mrefu.

Mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho FATUMA KITAMBI amesema kuwa kero hiyo kwa sasa imekua sugu kutokana na ubovu wa mashine wanayoitumia katika uzalishaji maji,na wakati mwingine huwalazimu kukopa fedha kwa wadau na kuendesha shughuli za uzalishaji maji
 
Naye mganga mfawidhi wa kituo cha afya  cha makorongo bahati mohamedi amesema kuwa athari wanazoweza kupata wananchi kutokana na kutumia maji yasiyo safi na salama ni pamoja na kupata magonjwa ya mlipuko kama vile kuharisha damu na ukosefu pamoja na ukosefu wa maji.
www.halfanbinde.blogsport.com 
Hata hivyo wananchi hao wamesema kwamba changamoto ambazo hukumbana nazo ni pamoja na kutumia muda mwingi kutafuta maji badala ya kufanya shughuli za uzlishaji.

Jumapili, 29 Juni 2014


Broadcasting refers to a method of transferring a message to all recipients simultaneously. Broadcasting can be performed as a high level operation in a program, for example broadcasting Message Passing Interface, or it may be a low level networking operation, for example broadcasting on Ethernet. 

Press Laws are the laws concerning the licensing of books and the liberty of expression in all products of the printing-press, especially newspapers[citation needed]. The liberty of the press has always been regarded by political writers as of supreme importance. Give me liberty to know, to utter, and to argue freely according to conscience, above all other liberties, says Milton in the Areopagitic

 Media ethics is the subdivision of applied ethics dealing with the specific ethical principles and standards of media, including broadcast media, film, theatre, the arts, print media and the internet. The field covers many varied and highly controversial topics, ranging from war journalism to Benetton advertising.
                                                  Video shooting
 is the system of recording films and events on tape so that people can watch them on a television set. 


is a form of marketing communication used to encourage, persuade, or manipulate an audience (viewers, readers or listeners; sometimes a specific group) to take or continue to take some action. Most commonly, the desired result is to drive consumer behavior with respect to a commercial offering, although political and ideological advertising is also common. This type of work belongs to a category called affective lab

Public relations (PR) is the practice of managing the spread of information between an individual or an organization and the public.[1] Public relations may include an organization or individual gaining exposure to their audiences using topics of public interest and news items that do not require direct payment.[2] The aim of public relations by a company often is to persuade the public, investors, partners, employees, and other stakeholders to maintain a certain point of view about it, its leadership, products, or of political decisions. Common activities include speaking at conferences, winning industry awards, working with the press, and employee communication.[3
Philosophy is the study of general and fundamental problems, such as those connected with reality, existence, knowledge, values, reason, mind, and language.[1][2] Philosophy is distinguished from other ways of addressing such problems by its critical, generally systematic approach and its reliance on rational argument.[3] In more casual speech, by extension, "philosophy" can refer to "the most basic beliefs, concepts, and attitudes of an individual or group".

 Psychology is an academic and applied discipline that involves the scientific study of mental functions and behaviors.[1][2] Psychology has the immediate goal of understanding individuals and groups by both establishing general principles and researching specific cases,[3][4] and by many accounts it ultimately aims to benefit society.[5][6] In this field, a professional practitioner or researcher is called a psychologist and can be classified as a social, behavioral, or cognitive scientist. Psychologists attempt to understand the role of mental functions in individual and social behavior, while also exploring the physiological and biological processes that underlie cognitive functions and behaviors.
  A research proposal is a document written by a researcher that provides a detailed description of the proposed program. It is like an outline of the entire research process that gives a reader a summary of the information discussed in a project
 A newspaper (often just called a paper when the context is clear) is a periodical publication containing news, other informative articles (listed below), and usually advertising. A newspaper is usually printed on relatively inexpensive, low-grade paper such as newsprint. The news organizations that publish newspapers are themselves often metonymically called newspapers. Most newspapers now publish online as well as in print. The online versions are called online newspapers or news sites.

 

.